Ujumbe Wa Kutia Moyo : Akizungumza katika buenos aires wakati wa sherehe ya adimisho la miaka 40 ya jumuiya hiyo ya fsspx nchini agentina, fellay aliwaambia waliokuwa wamehudhuria kuwa jumuiya hiyo inaendelea kupokea jumbe za kutia moyo kutoka kwa makadinali na maaskofu.