Busara Misemo Ya Wahenga - Si tu misemo mipya imezuka bali hata ile misemo ya asili imepindwa na kutumiwa katika miktadha mipya.waandishi wa semi za magari ni madereva, utingo au wamiliki wa vyombo hivyo.tumebaini makundi.